Tunapenda kuwataarifu wazazi wote wa wanafunzi wa darasa la saba waliohitimu kuanzia mwaka 2008 hadi 2016 kuwa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi vimetoka na vipo shuleni.
Mzazi unatakiwa kuja kuchukua hapa shuleni ukiwa na kitambulisho chako cha Taifa (NIDA) au cha mpiga kura kuanzia siku ya jumanne tarehe 22/03/2022 saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:30 jioni.
NYOTE MNAKARIBSHWA.