Tunapenda kuwataarifu wazazi na na walezi wa wa wanafunzi wa darasa la 7 waliohitimu mwaka 2022 kuwa Vyeti vyao toka baraza la mitihani vimeshafika shuleni.

Hivyo fika shuleni ukiwa na kitambulisho chenye picha ili kumchukulia mwanao.

         WOTE MNAKARIBISHWA.