Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya usahili (Interview) kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na shule yetu mwaka 2024 itakua tarehe 09/12/2023 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

VITU VYA KUJA NAVYO  NI KAMA IFUATAVYO.

  1. Copy ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto
  2. Passport size 3
  3. Tsh 40,000/= kwa ajili ya usahili na fomu ya kujiunga.
  4. Matokeo ya Usahili yatatolewa siku hio hio.

KARIBUNI SAANA