Tunapenda kuwataarifu kua siku ya kuja kuwatembelea na kuona maendeleo ya wanafunzi (Visiting na Opening day) itakua tarehe 27/07/2024.
Opening day kwa wanafunzi wa kutwa itaanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana. Na
Visiting day kwa wanafunzi wa bweni itaanza saa 8: Mchana hadi saa 11:00 Jioni.
NB: Atakeyeruhusiwa kumtembelea mtoto (Visiting day) ni mtu aliyeorodheshwa katika kumbukumbu zetu na lazima awe na kitambulisho chenye picha.
KARIBUNI SAANA.