Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya usahili (Interview) awamu ya pili kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na shule yetu mwaka huu itakuwa tarehe 19/04/2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
VITU VYA KUJA NAVYO NI KAMA IFUATAVYO.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto
- Passport size 3
- Tsh 40,000/= kwa ajili ya usahili na fomu ya kujiunga.
- Matokeo ya Usahili yatatolewa siku hiyo hiyo saa 10:00 jioni.
- NB: Hatutoi fomu, kwa taarifa zaidi tafadhali piga simu namba +255 786 438 427
KARIBUNI SANA.