Tunapenda kuwataarifu kuwa Bank ya CRDB imeanzisha mfumo waulipaji wa Ada kupitia Control Number hivyo utapokea ujumbe mfupi (SMS) wenye Jina la Mtoto na kiasi cha kulipa na Control Number utakayotumia kulipia. Unaweza kulipia kwa njia zifuatazo:

   

Payments Through SimBanking USSD/Malipo kupitia SIMBANKING USSD


Step 1. Login to SimBanking USSD/Ingia katika USSD kwa kuweka *150*03#

Step 2. Select "PAY BILLS"/Chagua LIPIA BILI

Step 3. Select "SCHOOL FEES"/Chagua Ada

Step 4. Select " PAY"/Chagua LIPA

Step 5. Select Account/Chagua akaunti

Step 6. Then enter “Invoice number” and confirm details/Weka Namba ya
Muamala na thibitisha taarifa za ankara

Step 7. Enter amount and proceed with payment./Weka Kiasi na endelea na malipo

 

 

Payments Through SimBanking Mobile App/Malipo kupitia Simbanking


Step 1. Login to SimBanking App/Ingia kwenye Simbanking

Step 2. Select "PAYMENTS"/Chagua MALIPO

Step 3. Go to menu "EDUCATION"/Chagua ELIMU

Step 4. Then enter “Invoice number” and confirm details/
Ingiza Namba ya Ankara na thibitisha taarifa
Step 5. Enter amount and proceed with payment/Ingiza kiasi na endelea na malipo

 

FOR VODACOM (M-PESA)

Dial(Piga) USSD Code
Select Financial Services (Huduma za Kifedha)

Select MNO to Bank (Tuma pesa kwenda benki)

Select CRDB (Chagua CRDB)

Enter your reference number which you acquire from system/weka namba yako ya malipo uliyo ipata kutoka kwenye mfumo

Enter amount / Weka kiasi cha kulipa

Enter PIN/weka namba yako ya siri

Enter 1 [ to confirm/Kubali ]or 2 [to cancel/kusitisha ]

 

FOR AIRTEL (AIRTEL MONEY)

1. Dial ( Piga ) *150*60#
2. Enter 1 [Send money ( Tumapesa)]
3. Enter 3 [ To bank (kwenda benki) ]
4. Enter 2 [ CRDB Bank]
5. Enter your system reference number / weka namba yako ya malipo uliyoipata kutoka kwenye mfumo
6. Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
7. Enter PIN to send xxxxxx amount to CRDB BANKCRDB COLLECTION account number (your reference number) / weka namba yako ya siri kutuma kiasi xxxxxxx kwenda CRDB BANKCRDB COLLECTION akaunti namba (namba yako ya kumbukumbu ya malipo)

FOR TIGO (TIGO PESA)

Dial (Piga) USSD Code *150*01#
Pay Bills (lipa bili)

Enter business number (900600)/Ingiza namba ya kampuni(900600)

Enter reference number/Weka kumbukumbu namba au Namba ya muamala

Enter amount/Ingiza kiasi na endelea na malipo


NB: CRDB Bank business number for TIGO PESA is 900600