Tunapenda kuwataarifu kua  siku ya kuja kuwatembelea  na kuona maendeleo ya wanafunzi  (Visiting na Opening day) itakua tarehe 04/05/2024.

Opening day kwa wanafunzi wa kutwa itaanza  saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana.  Na

Visiting day kwa wanafunzi wa bweni itaanza saa 8: Mchana hadi saa 11:00 Jioni.

 

NB: Atakeyeruhusiwa kumtembelea mtoto (Visiting day) ni mtu aliyeorodheshwa katika kumbukumbu zetu na lazima awe na kitambulisho chenye picha.

 

             KARIBUNI SAANA.