Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya usahili (Interview) kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na shule yetu  mwaka 2025 itakuwa tarehe 14/12/2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

VITU VYA KUJA NAVYO  NI KAMA IFUATAVYO.

  1. Nakala  ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto
  2. Passport size 3
  3. Tsh 40,000/= kwa ajili ya usahili na fomu ya kujiunga.
  4. Matokeo ya Usahili yatatolewa siku hiyo hiyo saa 10:00 jioni.
  5. NB: Hatutoi fomu, kwa taarifa zaidi tafadhali piga simu namba +255 786 438 427

            KARIBUNI SANA.