Tunapenda kuwataarifu kuwa gharama zetu za ada ni kama ifuatavyo;
A. WANAFUNZI WA BWENI.
1. Kuanzia chekechea hadi darasa la VII ada ni Tsh 3,900,000/= kwa mwaka.
Unaruhusiwa kulipa kwa awamu tatu.
B. WANAFUNZI WA KUTWA.
1. Kuanzia chekechea hadi darasa la I ada ni Tsh 1,800,000/= kwa mwaka
2. kuanzia darasa la II hadi darasa la III ada ni Tsh 2,400,000/=kwa mwaka.
3. Kuanzia darasa la IV hadi darasa la VII ada ni Tsh 2,700,000/= kwa mwaka
Unaruhusiwa kulipa kwa awamu tatu.
Hatutoi fomu, kwa taarifa zaidi piga simu namba +255 786 438 427.
KARIBUNI SANA.